ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 6, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo mpya  ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria iliyofanyika jana katika kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili  la Kilutheri Tanzania (KKKT)  Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji  Emannuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu na kuzinduliwa kwa Dayosisi  hiyo katika Kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini jana Mei 5, 2013. Katikati  ni Askofu Mkuu KKKT Tanzania, Dkt Alex Malasusa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa KKKT Tanzania baada ya kuwekwa Wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria na kuzinduliwa rasmi Dayosisi hiyo katika kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji, Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu. Picha na OMR

1 comment:

Anonymous said...

ATTENTION TULIA TULI BAA MDOGO KAMA MAJI YA MTUNGINI