Monday, May 27, 2013

MCHUNGAJI CHRISTOPHER MWAKASEGE SIKU YA MWISHO WA MKUTANO WAKE MINNEAPOLIS

 Mchungaji akitoa neno la Mungu kwa washiriki wa mkutano huo uliokuwa unafanyika Minneapolis
 Washiriki wa mkutano huo wa mchungaji wakiomba kwa pamoja
 Washiriki wakiendelea na maombi.
 Kila mtu akiomba kwa uwezo wake
 Mchungaji Mwakasege akiongoza maombi kwenye Semina iliyomalizika jana Jumapili Minnesota
Maombi yakiendelea.
Bwn. Mshomi akiwa mmoja wapo ya watu waliohudhuria semina ya Mchungaji Mwakasege.

kwa picha zaidi bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

Msipo pitia articles zenu mtaandika matusi. "mkunano"