Tuesday, May 14, 2013

MHE. FREEMAN MBOWE AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA VIJANA JIMBONI HAI


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwakabidhi viongozi wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mtakuja FC ya Mtakuja, Yusuf Idd (kushoto) na Rasud Juma (katikati) zawadi ya jezi na mipira kwa ajili ya timu hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dorice Cornel na Katibu Mwenezi wa chama hicho wilayani Hai, Simon Mnyampanda. Kiongozi huyo yuko katika ziara ya wiki mbili jimboni kwake kuzungumza na wananchi wake.

No comments: