Mabaki ya Mnara wa Kihistoria wa Mawasiliano Weles Kikwajuni Zanzibar.
Enzi hizo uliokuwa ukipokea Mawasiliano kutoka Nchini Aden, Yemen na kusambazwa katika sehemu za Afrika Mashariki, na kwa hivi karibuni ulikuwa ukitumiwa na Kampuni za Simu za Mkononi kwa kuweka mitambo yao.
Umefunguliwa kwa ajili ya kuwekwa kituo cha Mawasiliano ya Mkonge wa Taifa. Sehemu hiyo itatumika kwa ajili ya matumizi ya Kupokelewa Mawasiliano na kurusha sehemu husika katika Visiwa vya Zanzibar.
Niliwahi kusimuliwa kwamba kulikuwa na shetani hapa alikuwa na mguu mmoja tena wa kike. Kama ni kweli sijui atakuwa amehamia wapi kama bado yupo.
No comments:
Post a Comment