ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 15, 2013

MSANII DIPO AJIUNGA KWENYE MASUMBW

Kocha wa mchezo wa masumbwi Klabu ya Amana CCM ,Kondo Nassoro Kushoto
akimwelekeza msanii wa michezo ya kuigiza kwenye Luninga, Haruna Mussa
'dipo' Dar es salaam jana jinsi ya kutupa makonde alipokwenda kufanya
mazoezi ya ngumi kwa ajili ya kujiweka sawa sawa katika kuakikisha
anafanya vizuri kwenye fani yake.Picha na Superboxing blog

1 comment:

Anonymous said...

kocha ni yupi?