Friday, May 24, 2013

MISA YA KUMUAGA MARTIN NGIREU KESHO


Martin Ngireu Enzi ya Uhai Wake
Familia ya Ngireu inawataarifu Misa na kumuaga marehemu kesho Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 10 jioni (12-4pm) kwenye addres 313 Talbot Avenue, Laurel, MD baada ya hapo kutakua na chakula kwenye address 210 Patuxent Road, Laurel MD

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inafanywa na kama ilivyodesturi yetu kupena pole ndio ustaarabu wetu Msiba upo 210 Patuxent Road, Laurel MD kwapa pole watoto wa marehemu Carol na dada yake waliokuja kutoka Tanzania na California. Msiba huu ni wetu sote DMV tafadhali tujumuike na tuwafiriji wafiwa. Kushirikiana na kushikamana kwa shida na raha ndio staili na maisha yetu DMV.
Kwa maelezo na maelekezo tafadhali wasiliana na Mtoto wa Marehemu Carol 301 957 4523.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

No comments: