Thursday, May 2, 2013

MSOSI WA GOLDEN TULIP YA RABAT, JOHN BOCCO HADI KUJILAMBA

Wachezaji wa Azam FC wakipata chakula cha mchana katoka hoteli ya Golden Tulip leo, Rabat, Morocco ambako wapo tangu Jumatatu kwa ajili ya mchezo wa marudiano, Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa mjini hapa.
Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole
Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia
Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake
Kocha Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika mashindano ya Afrika, Florian Kaijage leo Golden Tulip
Mbunifu; Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SII
Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip
Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi, Picha kwa hisani ya bin Zuibery blog the # sports blog.

No comments: