Thursday, May 2, 2013

SEMINA YA WASANII WA KILI MUSIC AWARD 2013

Wasanii watakaopigia kura kwenye Tuzo za Kili Music Awar 2013 wakiwa kwenye semina iliyofanyika Dar es Salaam.
Mkubwa Fella kutoka kundi la TMK wanaume Family akizungumza wakati wa semina hiyo
Mwansiti akiwa katika pozi baada ya semina kumalizika
Mama wa Mipasho, Mama Khadija Kopa akiwa katika Pozi la Picha
Mkulya wa kwanza kuimba taarabu Mama Mashauzi akiwa katika Pozi la Picha
Lina akiwa katika Pozi

No comments: