Monday, May 20, 2013

PETER MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO CHINI YA ULINZI MKALI

Mbunge wa CHADEMA, Iringa Mh. Peter Msigwa akifikishwa mahakamani mjini Iringa leo baada ya kukamatwa Jumapili kuhusiana na vurugu zilizotokea mjini humo.
Mbunge wa CHADEMA Mhe. Peter Msigwa akishuka kwenye gari ya polisi chini ya ulinzi mkali.

No comments: