Advertisements

Friday, May 24, 2013

MAMBO YOTE WASHINGTON DC MEMORIAL WEEKEND -JUMUIKA NA WATU MBALI MBALI KUTOKA OUT OF TOWN NA MAHANJUMATI YA KITANZANIA @ "KILIMANJARO PASSION RESTAURANT

KUANZIA IJUMAA-MEET & GREAT SPECIAL
JUMAMOSI BAADA YA KICHURI CHA WAKURYA NI "KILI TIME"
JUMAPILI -PATA SOUP YA SAMAKI/GOAT/CHICKEN NA MISHIKAKI SPECIAL
THEN WHITE PARTY 
MISHIKAKI- KACHUMBARI NA CHACHANDU PIA IPO

WAPENDA SALAD PIA IPO 
ZEGE-CHIPS YAI
KWA WAPENDA BURGER-HII NI YA HALAL MEAT
MGAHAWA MSAFI NA WA KISASA WA KITANZANIA 
UNAFUNGULIWA WEEKDAYS 4-11PM NA FRID/SAT/SUN- 2PM-2AM
2310 PRICE AVENUE,WHEATON,MD,20902
301-661-6207

12 comments:

Anonymous said...

Wanatumia muda mrefu sana kupika na kuleta chakula mezani. Inawachukuwa zaidi ya saa moja na robo. It is ridiculous, and damn wrong!! Come on! you can do better than this . Haitakiwi izidi dakika 30 kupata chakula, hata kama unatumia jiko la mkaa.

Anonymous said...

Nimesikia mayai mnatumia ya mabox au ya chupa..it it true sababu if it is sio health kwa watu ni machemical mengi ..mkinibania comment sawa tu I just wanted to know

Anonymous said...

Hv jmn watanzania mbona mnapenda sana lawama? Badala ya kupongeza atleast kumepatikana mgahawa mzuri kazi kulaumu mnaona Mabaya mazuri hamyaoniii? Ndio imeanza hayo mambo mengine yatarekeboshika, mm cjwh kwenda bt nawapongeza kwa kutuletea kt kzr kinachotufanya tujisikie tuko nyumbani.

Anonymous said...

Tujaribu toa "constructive criticism" zitakazowzsaidia ku-improve utendaji wao. Kama alivyosema mdau wa kwanza hapo juu. Lakini "criticism" kama za mdau wa pili sidhani kama ni haki kwani kila restaurant wanatumia hayo ma-chemical lakini bado tunaenda tunakula kwenye hizo sehemu.

Anonymous said...

WABONGO WABONGO....MBONA MNAKULA MACDONALD..AU RESTAURANT ZA WAMAREKANI VYAKULA VYOTE FROZEN NA CHEMICAL KIBAO LAKINI HAMSEMI....HIVI TUTAACHA LINI MBONA TUNAPENDA KUONA NDUGU ZETU WANA DIDIMIA BADALA YA KUFURAHI WAKIFANIKIWA....HACHENI UJINGA

Anonymous said...

jamani ni kweli inawezekana chakula kilichukua muda mrefu kama Restaurant zingine mbona kuna wakati unaenda chakula kinachelewa....mbona mimi nimeishaenda mara nne nachakula kinawahi kuja?....inawezekana kulikuwa na tatizo au walikuwa busy sana au labda ilitokea tu wakawa na short staff ila wewe kama mteja huwezi jua,kama hiyo ilikuwa ndiyi experience yako na unataka wabadilike mbona usingewambia wenyewe kwani siuna wajua ?..au kwani wewe anonny haumfahamu bwana "DMK" siunge mpa mararamiko yako kuliko usubiri hapa utoe comment?...wabongo bana yaani ni bora mkale chakula swahili au seska chakula ambacho kusema ukweli hakifikii taste ya kilimanjaro hata chembe.....Luka usibanie hii kama alivyosema mdau

Anonymous said...

KUSEMA UKWELI WA MUNGU CHAKULA CHA KILIMANJARO KITAMU SANA...BIG UP DMK KWA KUCHAGUA MPISHI KAMA SHABANI..NI MWISHO WA MANENO..TUTAENDELEA KUKUUNGA MKONO MWANA KWETU.....WATU WAKIKUPA CRITICISM ZISIKILIZE ALAFU KAMA ZINAREKEBISHIKA REKEBISHA KAMA NZAUZUSHI ACHANA NAZO MOVE ON BROTHER..WE GOTCHA...
Mdau!

yoo said...

HABARI ZA LEO WADAU WA HAPO JUU
NASHUKURU SANA KWA COMMENT ZENU NA NINASHUKURU SANA KWAKUTUUNGA MKONO.
**KWANZA NAOMBA NIJIBU:
MDAU UNAESEMA CHAKULA KINACHELEWA NAOMBA NIOMBE SAMAHANI KWAHILO KWANI KUNAWAKATI INAKUWA NITATIZO LILILO NJE YAUWEZO WETU AMBALO SIO RAHISI KUKUELEZA WEWE KAMA CUSTOMER INGAWA INGEKUWA VIZURI KAMA NINGEKUFAHAMU ILI NIWEZE KUKUHARIKA TENA JUST TO IMPROVE YOUR EXPERIENCE WITH US.AGAIN SAMAHANI KWA HILO NATATIZO HILO HALIPOTENA SIKU HIZI..NAOMBA NIPIGIE SIMU NDUGU 3016616207....THANK YOU
**PILI..ANONNY WA PILI UNAULIZA KAMA TUNATUMIA MAYAI YA MABOX..JIBU NI HAPANA KABISAAA...YOU ARE MORE THAN WELCOME ANYTIME TO TAKE A TOUR OF OUR KITCHEN AND SEE FOR YOUR SELF...EVERYTHING IS FRESH NO FROZEN FOOD..NO MAYAI YA MABOX....OUR EGGS ARE FARM RAISED DELIVERED FROM NORALND FARM PENNSYLVANIA...AGAIN ANY QUESTION FEEL FREE TO CONTACT ME AT 3016616207...ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU.

Anonymous said...

Mkama D, songa mbele kijana kwa focus good za kimaendeleo. Maoni mengine ni mazuri na mengine sivyo. Kikubwa niwewe kusonga mbele up to your goals. Ok, tzs let all of us improve even our views before talk talk.

Anonymous said...

HII NDO DMV full of negativity! DMK im your supporter naleta watoto almost every week kula sambusa na chapati. Even my little baby anajua Kilimanjaro ukimwambia leo behave nintakupeleka kilimanjaro kula chapati wewe mtoto anatulia. DMK SONGA MBELE.

Anonymous said...

Ndiyo maneno DC mmelogwa?majungu tu yaani mtu akianzisha kitu chuki,halafu mnasema eti tusaidiane hapo tu hivyo akipata Zaidi?Hilo ni Sokol huria ukiona hakukufahi mtafute mwenyewe.

Anonymous said...

NI KWELI KABISA WATANZANIA WENZANGU. MBONA MKIENDA MCDONALD MNAKULA TUU?? TUMFURAHIYE NA KUMUUMGA MKONO MWENZETU DMKKWA KAZI ANAYOIFANYA. NA YEYOTE ATAKAEKUWA NA MAWAZO/MAONI NI VIZURI KUMPIGIA SIMU NA KUMPA MAWAZO YAKO. KWANZA NI KIJANA MDOGO SANA HATA ALIVYOFIKIRIA KUFUNGUA SEHEMU AMBAYO UKIJISIKIA KUPATA MSOSI WA NYUMBANI UNA MAHALI PA KWENDA.

TUJARIBU KUWA WAUNGWANA.ASANTENI WABONGO WENZANGU.