ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 31, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK HADI KWENYE GRADUATION YA BAHIA MAHUNDI YORK COLLEGE BAADA YA KUJITWISHA NONDO YA BA

Bahia Mahundi akiwa ameshika maua katika graduation yake iliyofanyika York College, Bahia alikuwa anasoma Arts na kapata Certificate ya Bachelor of Business Administration. Vijimambi inampongeza na kumtakia kila la kheli katika maisha yake na nondo hiyo ya BA kichwani.
Bahia akipata ukodac wa kumbukumbu
Ukodaki wa kumbukumbu muhimu hasa ukiwa proud na nondo yako kichwani uliyoipatia shuleni hapa
Bahia akipata ukodac na familia yake wakiwa nae katika graduation hiyo.

No comments: