Wednesday, May 1, 2013

Polisi Wawili Wapigwa Risasi Baada Ya Waziri Mkuu Mwenye Asili Afrika Kuapishwa Italy

Inaripotiwa kuwa Mtu mmoja alijotokeza na kuwashambulia Polisi kwa kuwarushia Risasi wakati wakiwa katika kazi yao ulinzi katika eneo hilo ambapo polisi wawili waliokuwemo nje ya Ukumbi, ambao Mawaziri wapya walikokua wanaapishwa . Polisi mmoja alijeruhiwa vibaya kwa risasi shingoni lakini hakupoteza maisha.

Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi ambapo habari zisizo rasmi zimeeleza kwamba kuna uwezekano alikua na matatizo ya akili au uamuzi huo unahusika na ubaguzi wa rangi baada ya kuteuliwa kwa Waziri mpya wa mambo ya nje ambae ni Mweusi.


No comments: