Seif Ameir pamoja na mdhamini wa pendo lake kwa miaka 25, Nargis Ameir wakichumu kwenye sherehe ya miaka 25 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi May 18, 2013 katika ukumbi wa Martin's Crosswimds uliopo Greenbelt, Maryland nchini Marekani.
Seif Ameir akiwa na mama mwenye nyumba wake na mdhamini wa pendo lake kwenye sherehe yao ya miaka 25 ya ndoa yao.
Nargis akimlisha keki mdhamini wa pendo lake kwa miaka 25, barafu na waridi wa moyo wake, Seif Ameir kwenye sherehe ya miaka 25 ya ndoa yao.
Nargis na Seif wakichumu kama ishara ya upendo na mashikamano wa malavidavi yao kwa miaka 25
Seif akimlisha keki mdhamini wa pendo lake na mama mwenye nyumba wake, Nargis Ameir kwenye sherehe yao ya miaka 25 ya ndoa yao.
Nargis akimchum mumewe.
Seif na Nargis katika densi yao ya kwanza ya miaka 25 ya ndoa yao.
Seif na Nargis katika picha ya pamoja na watoto wao
Watoto wakiongea machache kuhusu wazazi wao
Seif Ameir akilonga yake ya moyoni kwa kuwashukuru watu wote waliofika na wote waliowawezesha bila kumsahau Mwenyezi Mungu na hatimae Jumamosi ya May 18, 2013 kufanikisha sherehe ya miaka 25 ya ndoa yao.
Nargis akiwashukuru waandaaji, Mumewe na watu wote waliowezesha sherehe yao ya miaka 25 ya ndoa.
kwa picha zaidi bofya read more
3 comments:
Nice pictures, beatiful family:)
Congratulations guys. You don't throw away what is broken, but you fix it and move on. God bless you
Mashallah beautiful event,may their family be stronger!
Post a Comment