Monday, May 27, 2013

TANZANIA DMV YAPOTEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA KENYA DMV MEMORIAL WEEKEND 4-2


 Timu ya Kenya Vitambi FC ya DMV
 Timu ya Tanzania ya DMV
 Golikipa wa Tanzania Mussa
 Picha juu na chini mpambano ukiendelea
Hatari lango la Kenya
Picha ya pamoja ya timu zote baada ya mechi
kwa picha zaidi bofya read more

 Baadhi ya mashabiki wa timu ya Vitambi FC
 Mashabiki wa Tanzania DMV
 Mchezaji wa Tanzania akiwa nje kwa maumivu ya mguu
 Picha juu na chini ni Kaka (kushoto) akiwa uwanjani baada ya kupata ajali mbaya mapma 2012 ya kugongwa na gari kwenye Interstate 95 (moja ya barabara viunganihi vya majimbo I 95) alipokua akielekea Delaware kwa shughuli za muziki kama poromota akiwa na Dj wake aitwae Babu na waliposimama pembeni mwa barabara kuangalia kamba iliyofunga spika kama imelegea ndio gari moja liliacha barabara na kuwagonga na wao kujikuta Hospitali chumba cha wagonjwa mahututi. kwenye picha wadu wamefurahi kumuana wakipata picha ya pamoja.
 Dj Omoshi akipata picha ya pamoja na Kaka

No comments: