Wednesday, May 22, 2013

Tbx-Business Consulting Co. wasaidia maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo

Tbx-Business Consulting Co. watoa mchango wao wa udhamini kwa ajili ya maadalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Blog ya Vijimambo itakayoambatana na Tamasha la Utamaduni wa kiswahili Marekani siku ya Jumamosi Julai 6, 2013.

No comments: