Tunatoa pongezi kwa mheshimiwa rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua mawaziri wapya na manaibu mawaziri. Uteuzi huu utakidhi mahitaji ya kitaaluma na uzoefu katika wizara hizo na pia itaimarisha chama cha ushindi (CCM) ifikapo 2015. Sisi tulio mbali na nyumbani tunasimama bega kwa bega na chama katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo sugu na kero kwa wananchi ili kuleta maendeleo ya nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania.
CCM JUUU, JUU ZAIDI!

9 comments:
I don't think this is necessary given the fact that watu ni wale wale. Tanzania sio ya CCM only anymore...mambo ya kidumu ni historic. For my perspective uteuzi umelenga mikakati ya CCM to get easy fund from hazina during election in 2015. This is politics and doesn't move our country foward.
Really. ...yani vichekesho kupanda kunde and hope kuvuna maharage...get real nyie ccm and have real people doing real things
The ministers should be selected based of the Departments and not on the need of Minister. For example, the Minister of Education should focus of the need of quality education, and the minister of Agriculture should focus on modern technologies in farming, micro biology engineering, food science and food quality and safety.
Noteworthy, these two ministries are the core bread winner of the country and should not be messed with. Surprisingly, the president selected one person to be the minister of education and agriculture to run the two departments in a huge country like Tanzania. The notion of selecting a single mister to run two complicated department is “too big to fail’.
Dr. Temba
Kama na wale tunaotegemea kuwa mmefunguka macho halafu mnaunga mkono huu uteuzi!, basi Tanzania haina wenyewe!
Mungu atusaidie sana.
watanzania wa new york siyo wote wana ccm sasa kama mlivyosema chama chenu hakifungamani na dini wala siasa sasa inakuwaje mnakuwa wasemaji wakuu wa watanzania wenginewe na je mmefanya uchunguzi wa hao mawaziri walio chaguliwa au tena ndo kutaka kujipendekeza na kupata vyeo vya hapa na pale kama kawaida yenu
mungu ibariki tanzania na mungu wabariki watanzania walio na itikadi mbali mbali dini mbali mbali na mielekeo ya kisiasa mbali mbali amen amen amen
ccm imetawala sana sasa ni wakati wa kuachia upinzani mungu wabariki wapinzani wote wa vyama vya siasa amen amen amen
What has a Minister in Bongo got to do with you people living in New York. Bega kwa bega, what crap is that! Will they assist in improving your lives in USA? Definitely not, so huo ushabike sijui wa nini - you have plenty of time guys.
Hao Mawaziri wapo pale kwa manufaa yao, watakula wataondoka na baadaye watakuja wengine - look 50 years on where we are, the majority are getting poorer and poorer but the lucky ones like Ministers live in Castles and they kids go to private schools in foreign countries
What has a Minister in Bongo got to do with you people living in New York. Bega kwa bega, what crap is that! Will they assist in improving your lives in USA? Definitely not, so huo ushabike sijui wa nini - you have plenty of time guys.
Hao Mawaziri wapo pale kwa manufaa yao, watakula wataondoka na baadaye watakuja wengine - look 50 years on where we are, the majority are getting poorer and poorer but the lucky ones like Ministers live in Castles and they kids go to private schools in foreign countries
nashanga sana zamani watanzania wa new york walikuwa hawapo hivi kila kitu wao wanapinga wenzao wakikifanya hata cha msingi wa cha heiri wao lazima wanapinga na walikuwa wanajiona hawana ummoja wao sasa wamepewa ummoja wao na kufanyiwa vi party ka state zinginewe wajumuike washerehekea wao ndo kwanza kila leo kutupia madongo na roho za korosho
nawashanga sana watanzania hawa na najiuliza ni kweli hawa wanaoandika comment ni wa tanzania wa new york kweli au state zinginezo na kuwatupia madongo wenzao kwa sabbau watanzania wa new york hawana hulka hizi na time hizi za kuandika utumbu utumbo huuu kila leo sio siri
Matawi ya CCM in the diaspora should be true to themselves; sio kuendekeza unafiki. CCM taifa walikabidhi orodha ya mawaziri mizigo kwa Rais. The President did not fully heed his party's call. Sasa hili vuguvugu la matawi ya CCM kutoa pongezi kila kukicha lina maana gani kama siyo unafiki? Cut the nonsense out CCMers!
Post a Comment