Thursday, May 23, 2013

Waliomwagia tindikali sheha wa shehia ya Tomondo wachukuliwe hatua

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi amelaani kitendo cha kumwagia tindikali sheha wa Shehia ya Tomondo Mohamed Omar Said na kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata waliohusika na kitendo hicho

No comments: