Saturday, May 25, 2013

Waziri Membe aelezea umuhimu wa AU kwa nchi za Afrika

Wakati nchi za Afrika zikiadhimisha miaka 50 tangu kuwepo kwa umoja wao Tanzania imesema uwepo wa umoja huo umekuwa ni nguzo muhimu ya ustawi wa mataifa ya afrika ambapo viongozi walipo madarakani wameingia kwa njia ya demokrasia.

Akizungumza na mabalozi na viongozi mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo yaliyofanyika jijini Dar es salaam ,waziri wa Mambo ya nje ya nchi Mh Bernard Membe amesema miaka ya nyuma Waafrika wengi walipoteza maisha kutokana na kuwepo kwa viongozi waliotaka madaraka kwa njia ya mtutu

No comments: