Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.
Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo May 7,2013 kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusabisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino (kulia) May 7,2013 wakati alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia sehemu lilipodondoshwa bomu hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo (katikati), May 7,2013 baada ya kutembelea Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
2 comments:
CHA KUJULIZE EWE NDUGU YANGU MPENDWA MWANA BLOG MWENZANGU HIVI KWELI WATANZANIA TUNA MILA HIZI ZA KUJIRUPUA RIPUWA HATA KAMA TUNA PIGIWA PICHAA NA KUYAONA NA KWA NINI MAKANISA NDO YALIPULIWE KILA LEO? NIA NA AGENDA ZAO NINI? TUWE WAFIKIRI SI WAFIKIRIWA KILA LEO KULISHWA HABARI ZA PROPAGANDA NA KUZIMEZA BILA KUZICHAMBUA NA KUTAFAKARI KWA KINA KIREFU
TUMECHOKA UONGO WENU
NAJUA WATU WAMEKUFA NA NAWAPA POLE LAKINI WALIO FANYA WANA MIPANGO YAO
WANAYAJUA WAYAFANYAYO WANAWAUWA WANANCHI WALALA HOI WAO WANAISHI KAMA WAFALME HEKALUNI
Nimeshangazwa na jinsi tatizo la ulipuaji bomu kanisa katoliki huko Arusha.Ninavyofahamu mimi ni kuwa linapojitokeza shambulio la kigaidi au ujambazi eneo husika (crime scene) linahifadhiwa kwa ajili ya kutoharibu ushahidi. Ndugu zangu Watanzania inakuwaje ndani ya siku chache toka lilipotikea shambulio hilo, anaonekana WAZIRI MKUU akuhutubia ndani ya eneo la uhalifu huku baadhi ya vitu vya majeruhi vikiwa bado vimetapakaa. Nikweli kuwa Jeshi la polisi limekamilisha uchunguzi wake au ndiyo tunaharibu ushahidi??? I WAS JUST SAYING
Post a Comment