Monday, June 10, 2013

Hatma ya dhamana ya lwakatare kujulikana kesho

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, kwa mara nyingine imeahirisha maombi ya kupewa dhamana ya kesi inayomkabili mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema, Wilfred Lwakatare.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake