Monday, June 10, 2013

SYLVIA ASHEREHEKEA GRADUATION YAKE KWA BBQ

 Sylvia Neema Mkude aliyehitimu High School  Gov. Thomas Johnson High school,akimlisha keki aunty yake Sekela Mwaisumo kwenye BBQ iliyofanyika Frederick, Maryland
Slylvia Mkude akipata picha ya pamoja na rafiki yake'
Slyvia Mkude akiwa na marafiki zake katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake