ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 17, 2013

Idadi ya waliokufa katika shambulio la bomu Arusha yafikia watu watatu


Makamu wa rais Dr. Mohamed Gharibu Bilal amewataka Watanzania kuendelea kuwa na imani na serikali yao kwa kuwa watulivu na kuipa nafasi ya kukishughulikia kikundi kidogo kinachojaribu kuchezea maisha ya wananchi kwani muda wa kuvumilia vitendo vya aina hiyo sasa umekwisha.

1 comment:

Anonymous said...

Duu! Mweshimiwa Mbowe ametoa shutuma kubwa jamani!!!