Wazee hii topic ni muhimu sana na inatakiwa serikali itilie mkazo wa hali ya juu vinginevyo tunapoteza viongozi wa mbeleni.Watu wasifikiri kuwa hili jambo ni la mchezo.Mimi ninaamini kuwa serikali ikitaka inaweza kuzuia haya madawa kwani wauzaji na waingizaji wanawajua lakini hawataki kuwakamamta kwa sababu ya kupatiwa pesa ili kufumbua macho biashara yao haramu.Solution serikali ,serikali,serikali. Ukikamata wauza au waingizaji unga piga miaka 20 hakuna dhamana wala rufaa.
7 comments:
Benja is very knowledgeable na maisha, I like that. Benja, will you marry me? :-)
Great dialogue. Thanks DJ Luke...Tuesday has become my new best day of the week!
Welcome back Benja. we missed u!
Benja ndiye Simon Cowel wa Vijimambo. Mukuu kazi nzuri sana.
sasa benja domo kaya wewe ni wa dini gani mkiristo au muislamu?
DUNIA YA KWANZA WAPI MNAFANYA KAZI KAMA MAROBOTI KUSUKUMA NA KUFUNGUA MABOKSI NA SAVING MCHWARA WAPI
NA USIMKUFURU MUNGU WEWE BENJA UKIJA KUPATA TOTO SHOGA SIJUI UTAWEKA WAPI SURA YAKO TENA TUNAKUSUBIRI WEWE UJE UPATE TOTO HILO HAPA WASHINGTON

Post a Comment