Tuesday, June 4, 2013

MISSY TEMEKE, MWAJAY SUMMER OF LOVE JUNE 14, 2013 JIJI LA WAJANJA OAKLAND PATAKUWA HAPATOSHI

Missy Temeke kutoka DMV kwa kushirikiana na Msusi na Mwana-Vipodozi Maarufu Mwajay kutoka jiji la Wajanja Oakland - California katika African Fashion Show "Summer of Love " Juni 14, 2013 watakonga nyoyo za mashabiki kwa fashion show, ususi, vipodozi na vikorombwezo vyote unavyovijua na usivyovijua katika medani ya ulimbwende. Fika ujionee mwenyewe SUMMER OF LOVE jiji la wajanja patakua hapatoshi. Ukipata ujumbee huu mnong'oneze jirani yako. KARIBU.

3 comments:

Anonymous said...

They r very pretty

Anonymous said...

Miss Temeke uko juu, watakukomaje

Anonymous said...

Hongera Wadada naona ujasirimali kebekebe. Bwana Luke katika mojawapo ya mambo mazuri unayofanya ni kuwainua wadau kama na kuwa weka hewani. Siwezi kukosa sherehe yako ya Julai

Mwisho hongereni wakina dada Missy Temeke na Mwajay. Ndio mfano wa kuigwa