MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa maliwatoni.
Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina.
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.
Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake.

6 comments:
Kwani hapo cha ajabu ni kitu gani? Na hao wengi walioshangazwa, kilichowashangaza ni nini? Why everything is everybody's business kwetu sisi waswahili?
Who cares?
No body cares what she does, at the end of the day I still need to pay my rent! AIN'T NO BODY GOT TIME FOR DAT. BOOOOHOO!
ushamba tu wa huyu binti dida anawaonyesha watu jinsi alivyo na choo na bafu la kisasa ulibukeni tu mbona vitu vya kawaida tuu ukiona hivyo anamtu anamtambia au watu anawatumia msg ya indirect
Ulimbukeni mbaya sana, huu ni ushamba, ndio tatizo la kuibuka ukuvwani
Hizi picha ameweka kwenye blogu yake sasa kwani mmelazimishwa kuingia uko. Kila mtu ana uhuru kufanya anachotaka. Hatuwezi kuwa na priorities sawa, sasa maneno mengi ya nini. Fanya yako anza mbele.
Post a Comment