PICHA YA LEO OMBA OMBA NA SYTLE YA MATONYA NEW YORK CITY
Omba omba huyu alikutwa na ukodak wa vijimambo akiomba kwa style ya kulala chini akiwa underground ya kituo cha subway maeneo ya Columbus Circle New York City. Pembeni ana chupa ya maji na viatu vyake.
No comments:
Post a Comment