ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 8, 2013

SHEREHE YA HARUSI YA ASHA AKIDA NA ABDULL JEFFERIES YAFANA

Bwana Abdull Jefferies na Asha Akida wakishuka kwenye gari lililowaleta ukumbini huku wakilakiwa na mshereheshaji Sunday Shomari (koti la suti) na mwenyeji wao Asha (shoto), MC akiwaelekeza jambo kabla hawajaingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyikia Silver Spring, Maryland nchini Marekani, Ijumaa June 7, 2013.
Bwana na Bi. harusi wakiingia ukumbini.
Bwana na Bi. harusi wakipata ukodak moment.
Bwana na Bi. harusi wakiwa meza kuu.

Bwana na Bi. harusi wakipakua chakula.
Bwana na Bi. harusi wakikata keki.
Bwana na Bi. harusi wakilishana keki huku wakiwa wameshikilia mioyo yao wakipima mapigo yao ya moyo.
Bwana na Bi. harusi wakichum baada ya kulishana keki.
Bwana na Bi. Harusi wakifungua dansi.
Video ya ndugu jamaa na marafiki waliojumuika na maharusi wakiduarika.
kwa picha zaidi bofya read more

 
 

2 comments:

Anonymous said...

Bi Asha you deserve this day!!!! We love you. Thank you for all you do for us.

Anonymous said...

Mama wa kiarabu aliyevaa/gauni yenye nyeupe na nyeusi na viatu vya cream amenifurahisha sanaaaaa yaani alikuwa anacheza na kusheherekea ipasavyoooo I love it! Harusi ilipendeza na madira yalikuwa ya nguvu. Ila jamani mambo ya kutumia simu kwenye sherehe za watu tuacheee! Ni tabia mbaya sana na tena ni dharau kwa maharusi na wengine. tumia simu yako nje na sio ndani, ndani ni kula,kucheza na kushangilia. Asanteni.