ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 30, 2013

SHEREHE YA MIAKA 40 YA KUZALIWA, VINCENT AOMBA KUOLEWA NA EDAH

Edah akiwa na Kunda katika sherehe miaka ya 40 ya kuzaliwa iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi June 29, 2013.
Edah akiwa meza kuu
Edah akiwa na watoto meza kuu.
Meza kuu ilivyopendeza.
Vincent akiomba kuolewa na Edah, Edah nae kasema YES habari ndio hiyo mambo hayo ndani ya miaka 40 ya kuzaliwa ya Edah iliyofanyika Lnham, Maryland.
Mambo hayo 
kwa picha zaidi bofya read more


3 comments:

Anonymous said...

fourty!!! good.

Anonymous said...

Nimependa sanaaa mlivyo vaaa, You all look very nice kasoro kaka aliyevaa Jeans jamani, kwani hakupata memo kuwa ni red carpet? Watu wa DC MNATISHA, FULL KUPENDEZAAAAAAAAA!!!! mUNGU AWABARIKIIIII SANA. 40 is the NEW 30. HEHEHE.

Anonymous said...

nice party. ila kwa nini watanzania hatupendi ku-keep time jamani? tujifunze basi it is a good habit