Missy T mwanamitindo kutoka DMV(wapili toka kushoto) akipata picha ya pamoja na wadau wa California. kwenye usiku wa Summer Of Love uliofanyika Ijumaa June 14, 2013 na kuendelea tena leo Jumamosi na kesho Jumapili Jiji la wajanja patakua hapatoshi.
Dj Dennis akipata picha na models walioupanda usiku wa Summer Of Love day one jiji la wajanja Oaland California nchini Marekani, Summer Of Love inaendelea tena leo na kesho kwenye jiji hilo.
Wadau wakipata picha ya pamoja siku ya Ijumaa June 14, 2013 kwenye usiku wa Summer Of Love jiji la wajanja, Oakland California.
Dj Dennis Shengena kutoka Minnesota (kati) akipata picha ya pamoja ya washiriki waliohudhuria Summer Of Love jiji la wajanja Oakland, California.
Model katika picha ya pamoja na mashabiki zake.
Wadau wakipata ukodak moment.
Wakina dada wa Oakland waliojumuika pamoja kwenye usiku wa summer Of Love wakipata picha ya pamoja.
Hua furaha mnapokutana pamoja kama ishara ya udugu uliotukuka, upendo na mshikamano kama unavyoona kwenye picha.
Mwanamitindo kutoka DMV, Missy T akipata picha ya pamoja na models wake walioupamba usiku wa Summer Of Love Ijumaa June 14, 2013.
Modelswakipata picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake