Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika kijiji cha Uhelela mpakani mwa mkoa wa Dodoma na Singida baada ya basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Bukoba kuelekea jijini Dar es salaam kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeegeshwa katikati ya barabara.
No comments:
Post a Comment