ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 29, 2013

DIAMOND PLATNUMZ AENDA SHULE SOUTH AFRICA KUONGEZA VIDATO

The Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kuongeza vidato kidogo. Apparently, hitmaker huyo wa Kesho amejiunga na chuo ambacho hakijajulikana jina lake bado na hajasema ameenda kusoma nini.
Kupitia Facebook, staa huyo amewauliza mashabiki wake wabashiri ameenda kusoma nini chuoni hapo na haya ni baadhi ya majibu.
Faiso Yahya: Ka si english course basi unenguaji

Galus de Focus: HOTEL MENEGEMENT

Benjamin Osarya Jr.: Unasoma matangazo….kwenye notes board.

Nelson Choka: Samahan form 4 umemaliza ww et..!! Labda una risit dogo mh

Rose Selestini: Unatafuta wadada wa chuoni.

Christian Biseko: wa kusoma uwe wewe??? Elimu siyo mchezo wewe!!!

Gara B Kubwa: English Course ili Ushiriki BBA mwakani…una Mbwembwe dogo wewee..

Emmanuel Makaga: Unasomea jnc ya kubun skendo mpya kwny mass media

Gabrie Lbrighton: Wanaosoma hawajitangazi wew may be ungetuambia akitoka huyu mwanamke uliye nae nani anafata.
Nàdhifá Dórnald Unasomea mapenz maana unayapenda sana.

8 comments:

Anonymous said...

Shule inahitaji nidhamu ya aina yake ambayo huna. Utaambulia vimwana tu ambao watakuchuna vilivyo, na usipoangalia utakokota ngoma maana kule South siyo mchezo. Acha ulimbukeni dogo. Baada ya kupata pesa, kuvuruga warembo nk., umegundua kuwa una-naksi ya shule? Hapa duniani kuna mambo mengi mno, usidhani unaweza ukapata kila kitu.

Anonymous said...

he needs to grow up!! mamilion yanampa kiwewe

Anonymous said...

uwamuzi wa busara kijana, shule ni shule tu na ni muhimu katika maisha ya mwanadamu. usisikilize madongo ya kukatisha tamaa, nenda shule baba itakusaidia siku moja, kipaji kina wakati, kinang'ara na kufifia pia.

Anonymous said...

Uamuzi wako ni busara sana. Hakuna uwekezaji maishani kama elimu, wasikudanganye hao vihiyo.

Anonymous said...

Uamuzi wa busara mwanangu. Usisikilize la mtu. Fanya kitu roho yako inapenda. Jamani kueni elimu haina mwisho. Jamaa kafanya jambo la busara, sio ajabu hao wanaoandika hivyo hawana chochote. Una kipaji kiendeleze zaidi kwa kupata elimu. Keep moving my son. I wish you all the best.

Anonymous said...

Good job. Do what you heart tells you. Dont listen to anybody. Elimu haina mwisho na ndio msingi wa maisha. Hao wanaosema unaenda kutafuta wasichana, wambie na wao waende kama ni rahisi. Wivu unawasumbua.

Unknown said...

Congratulation bro if its true,Beyonce went to school recently to do her ged,Tyra banks just graduated from Harvard,so education is a non questionable investment.mungu akusaidie

Unknown said...

Congratulation bro if its true,Beyonce went to school recently to do her ged,Tyra banks just graduated from Harvard,so education is a non questionable investment.mungu akusaidie