Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa pamoja alikua anasema anatamani awe na mtoto kipindi hiki cha umri huu yaani 26yrs,mi pia nilitamani nimuache na ujauzito ila sikumuacha nao. Kwasasa huwa tunawasiliana kwenye simu,Ila tatizo sasa mi nina wivu nahisi kama ndani ya hii miaka miwili anaweza kunisaliti hata mara moja,kuna wakati nikimpigia simu akiwa hapokei nahisi kama yupo na mtu huko. Plizzzz maoni yenu,Can she wait till am back??au na mi nihesabie kama sina kitu nikirudi nianze kutafuta upya?Bcoz I feel like doing that now.
Thanks.....hope to hear from You guys.
Source:Jamii Forums
2 comments:
Ndungu, nakusihi ufungue macho na ufunge masikio kwani mengi yatasemwa kuhusu kipenzi chako. Binafsi, nilikuwa na situation kama yako. Nilifika hapa Marekani kusoma na kumuacha mchumba. Guess what? in less than 2 years washenzi walimjaza kibao na akazaa mapacha!Big men never cry, so I took it in stride and moved on with my life. My advice to you is to study hard and forget about your so called girlfriend. There are many fishes in the ocean, utapata toto lingine ukishamaliza na kufanikiwa na masomo yako. Wishing you all the best bro.
Mmmh!ebana hawa dada zetu wa siku hizi hawaaminiki kiivyo maana wanatawaliwa na tamaa. na mda mwingine wanajisahau sahau sana, yaani akimuona mwanamke mwenzake yupo na mwanaume basi na yeye anataka awe na mtu muda huo huo. kwa upande wako ndg yangu nakuomba upige kitabu na sahau uliyoyaacha huku nyuma ili uweze kufanya vema katika masomo yako. kama kweli unampenda usijari nini atafanya wewe muombe Mungu ukirudi na vyovyote utakavyomkuta utaendelea nae ila kwamba atakusuburi kipindi chote hiyo sahau.
Post a Comment