Advertisements

Monday, July 29, 2013

KONGAMANO LA AMANI CHUO KIKUU DAR LAFANYIKA, WAZIRI NCHIMBI AJIBU HOJA ZA WASHIRIKI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiandika maelezo ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa wakati alipokuwa anachangia mada ya Mustakabali wa Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akijibu hoja mbalimbali za washiriki katika Kongamano la Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu baada ya kuzijibu hoja mbalimbali za washiriki katika Kongamano la Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wapili kushoto) akifurahi jambo wakati alipokuwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa mara baada ya kufungwa kwa Kongamano la Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria. Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

1 comment:

Anonymous said...

Jibu la Nchimbi halina maana hata kidogo. Sheria ni sheria na ni lazima ifuate mkondo. Huwezi ogopa kutumia sheria kwasababu wavunja sheria wataingia mtaani na kusababisha fujo. Huo ni ukiujaji wa katiba. Umeapishwa kuilinda, kudumisha na kutekeleza katiba. Waziri wa mambo yandani, kama chief law enforcement officer huwezi kuwashughulikia wavunja sheria, huo ni ukiukaji wa kiapo ulichokula na ni uvunjaji wa katiba.

Ipo haja ya kutekeleza majukumu yetu kisheria na siyo kuogopa matokeo ya utelekelezaji wa katiba.