Nimekutana na hii picha ...Jamaa akiwapa kichapo mke wake ...Ona mtoto alivyoshikwa kikatili ....
Lord have mercy on them...
TOA MAONI YAKO HAPA
3 comments:
Anonymous
said...
Mimi ni mama wa watoto wawili, hii picha imeniliza machozi ya uchungu. Ooh MUngu atupe hekima na ushujaa tuweze kusaidiana wanawake tupate elimu ili eanaume wasiendelee kutunyanyasa na kutukandamiza. Tunaitaji heshima. Maombi yangu kwako Mungu uendelee kuwalinda malaika wako na uwaongoze kotoka kwenye umaskini. amina. Duh imeniuma sanaaa. Nakwawale viongozi wa africa mnaokula kuku na mirija mnayaona haya. Ngoja hukumu yenu itakapofika, hayo madaraka mliopewa si kwaajiliyenu ni kwaajili ya kutumikia jamii. Nimesema ya kutosha. Pumbavu nyote mnaowaoneea watoto

Mimi nadhani wanaume wengi huko nyumbani tanzania wana matatizo ya akili na kwa vile hakuna mashine mahalum za kuwa diagnose tatizo ndio linapotokea maana mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya unyama kama huu, MENTAL ILLNESS ISSUES IN TANZANIAN MEN

i

Post a Comment