ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

MAULIDI YA MARYAM YAFANA

Maulid ya siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa mtoto Maryam iliyofanyika Local Park iliyopo Claybrook Dr. Wheaton, Maryland. Jumamosi June 29, 2013. Mtoto Maryam alikua nafikisha mwaka mmoja.
Mtoto Maryam akiwa na mama yake Helewa.
Ndugu, Jamaa na amarafiki waliofika kwenye maulidi ya sherehe ya siku ya kuzaliwa na Maryam wakiingia ukumbini.
Marafiki wa karibu na familia wakiingia ukumbini.
Mtoto Maryam akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na watoto wenzake.
Kisomo cha Maulidi ya sherehe ya siku ya kuzaliwa na mtoto Maryam ikiendelea.
Kisomo kikiendelea.
Juu na chini ni Ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia kisomo cha maulidi ya sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mtoto Maryam kufikisha mwaka mmoja.
Kwa picha zaidi Bofya read more
Picha kwa hisani ya SwahiliTv Blog.

No comments: