
Ibrahim Ubao Enzi ya uhai wake
AJ Ubao anwataarifu kisomo cha mdogo wake Ibrahim Ubao kitakachofanyika kesho Jumapili July 7, 2013 kuanzia 11 jioni Wheaton Claridge Local Park address 11901 Claridge Rd, Wheaton, MD 20902. Kama utapata nafasi tafadhali pita nyumbani kwa AJ Ubao uweze kumpa mkono wa pole na rambi rambi zako ili afarijike katika hiki kipindi kigumi cha kuondokewa na mpendwa mdogo wake msiba hapa DMV upo
13832 castle blvd #104
13832 castle blvd #104
Silver Spring MD 20904
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali piga simu AJ Ubao 240 643 7000
2 comments:
MAY THE MIGHTY GOD/ALLAH FORGIVE ALL HIS SINS AND MAY HIS SOUL REST IN PEACE.AMEN
inna lillahi waina illahim rajiun, Allah amlaze mahali pema peponi amughufiriye yake na yetu sisi waja tulio bado duniani tukisubiri na sisi wakati wetu ukifika tutakuwa pamoja naye
inna lillahi waina illahim rajiun aj and helewa poleni sana sana ndo kazi ya Allah haina makosa
Post a Comment