
Mwana dada wa kiTanzania Margreth K Russa akipita jukwaani kwenye kinyang'anyiro cha u Miss Africa USA kilichofanyika Jumamosi ya Juni 29, 2013 kwenye ukumbi wa The Fillmore uliopo Silver Spring, Maryland. Dada yetu alijipatia ushindi wa miss congeniality.

Mwana dada wa kiTanzania Margreth K Russa akipita jukwaani akiwa amevalia vazi la "Evening" lililobuniwa na designer wa kiTanzania Missy Temeke wa Kwetu Fashions
Mwana dada wa kiTanzania Margreth K Russa akipita jukwaani akiwa amevalia vazi la "Tanzania Flag" lililobuniwa na designer wa kiTanzania Susan Malima.
Mwana dada wa kiTanzania Margreth K Russa akipita jukwaani akiwa amevalia vazi la "Traditional" lililobuniwa na designer wa kiTanzania Diana Magesa






6 comments:
Sasa mbona kumi bora hawakumchagua?.diana vazi la tradition zuri sana.susan malima big up.
Asante na hongera sasa Dada Mage.
Hi Five!!!!!!!!
Wakola BoJO!!
Sasa mbona tumesikia ajashinda......na wewe humesema kapewa ushindi ...ipi ndio ipi
Hongera
Hongera bibie, tumpe tu-hongera kapendeza mtoto wa wa watu.
Wakola waitu.
Thanks much! Susan
Post a Comment