Advertisements

Wednesday, July 31, 2013

RASIMU YA KATIBA MPYA HAIMTAJI MKULIMA ASEMA MWENYEKITI WA JUKWAA LA KATIBA, DEUS KIBAMBA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza na Baraza la Katiba la Wakulima wadogo kupitia Muungano wa Vikundi Vya Wakulima (MVIWATA) hivi karibuni. Picha na Venance Nestory

Pamoja na kwamba Katiba haiwezi kutatua kila jambo, Wakulima wadogo bado wana matumaini ya kutumia nafasi iliyosalia ya Mabaraza ya Katiba kutoa maoni yanayoweza kuwasaidia kuingiza mambo yenye masilahi yao. Soma zaidi

No comments: