Shilole alipata nafasi ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina 'NAKOMAA NA JIJI' baada ya kumaliza majukumu yaliyo mleta U.S.A.
Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake.
Pita taswira za location zilizotumika katika video hiyo akiwa katika jiji la New York.
Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake.
Pita taswira za location zilizotumika katika video hiyo akiwa katika jiji la New York.
Hapa Shilole akiwa ndani ya usafiri uliotumika katika video yake hiyo mpya
Akijiandaa kwa 'make up' mitaa ya Downtown Brooklyn Barclays Center
Shilole akifanya mambo yake mbele ya Video Camera
Masanja akiwa sambamba na Camera Man kuhakikisha Shilole anapata kitu kilicho bora kabisa.
Habari ndiyo hiyoo kaeni mkao wa kula video hii itakuwa baaaaabukubwa ......
Shilole ndiyo habari ya mujini
Wimbo wake mpya huo unatamba sasa katika radio station za Tanzania.
Hapa Shilole alipata company ya mtoto huyo aliomba kucheza na Shilole baada ya kuvutiwa na jinsi Shilole alivyokuwa akicheza
Shilole akicheza na mtoto alie omba kucheza nae mtoto huyo alivutia na jinsi Shilole alivyo kuwa anacheza. Baadae katoto ka watu kalilala na kuomba afanyiwe massage maana alijinyonga nyonga utadhania kashikwa na kichomi.
Hapo Shilole akipata ukodak na jamaa ambae alivutiwa na jinsi alivyo kuwa ana cheza katika harakati za kutengeneza video yake
Hapa Shilole anaonekana amechoka utadhani kakimbizwa na kinyonga mwenye kwikwi vile. Hapa ilikuwa location ya mwisho Time Square New York City.
3 comments:
Congrats... Make ur dream come true kwa kutengeneza hiyo video in nyc.... Wish ungebaki uburudike na wabongo in nyc..
Shilole na Masanja asanteni sana kwa kazi nzuri mnayofanya, kweli wana DMV tumeburidika sana tunaomba mje tena. Nyie kati ya Wasanii wasiokuwa na mbwebwe mnafanya vitu vyenye uhakika. Karibuni tena DMV tunawasubiri kwa hamu kubwa. Tunawatakia safari njema.
Shilole saumu inapanda? usijisahau mama, wenzako hawapaswi kufunga. dunia na dini
Post a Comment