kwi kwi kwi kwi!! LOL! Hands down for TID/Mnyama! he defended himself very well against the very humiliating questions that Sporah chose to ask him!! Sporah that was not very nice to tell someone "He looks unhealthy" if it was a white man being told that he would have walked out of that interview faster than a roller coaster!!! Sporah you need to pick your questions wisely next time!!!!
Nimempenda huyu TID bureeee!!! Safi sana. Amejibu maswali mengine kibabe kama vile Sporah alivyo muuliza kibabe! LOL! Halfu kumbe TID anaongea kiingereza kizuri tu sana kwanini Sporah amemuhoji Kiswahili? Maana kila swali la Kiswahili aliloliuliza Sporah TID amelijibu kwa kiiingereza.LOL! Halafu Sporah hakuwa amejiandaa hata kidogo kumuhoji Mnyama, matokeo yake ndo hayo interview ime yumba na kumfanya Sporah awe katika hali ngumu sana na majibu ya TID! Nimecheka sana alivyo mwambia Sporah maswali yake ni "nonsense/hayana maana" LOL! Nimemuheshimu sana TDI kwa kujitetea na kushambulia majibu kama na yeye alivyo shambuliwa na maswali yasiyo na mshiko.
huyu si mnyama ni mjusi ,anabisha nini na maswali ni ukweli mtupu hutaki kuojiwa usiende studio,limbukeni kijugu,anabishana mpaka na radio,sioni chochote anachoditetea,kuhusu kuhojiwa ilikuwani kwa kiswahili yeye anajibu kingereza hiyo siyo bbc,sio wote wanaojua kimombo,tid ni mburura.
Show host anaweza kukuuliza maswali yeyote; ni wajibu wako unayeulizwa kuwa/kujua njia yakuyakwepa. Kujibu sarcastically kunaonyesha maswali yame-get into your skin au la kunaukweli ndani ya hayo maswali. Hata hivyo inategemea vile vile na wewe mgeni unapenda image yako iwe portrayed vipi.
Huyu TID ni mburula..sasa unakwenda kwenye interview kufanya nini kama hutaki kujibu lolote unaloulizwa na Fans wako?the all interview It's very disturbing..
10 comments:

myamaa nimekupenda kweli huyu kiherere leo umemuweza sana sana
yaani umenifurahisha sana tid mnyamaaaa wewe ni kiboko na hug ukumpa kabisaa nimekupenda buree
she really asked stupid questions I agreed
huyu si mnyama ni mjusi ,anabisha nini na maswali ni ukweli mtupu hutaki kuojiwa usiende studio,limbukeni kijugu,anabishana mpaka na radio,sioni chochote anachoditetea,kuhusu kuhojiwa ilikuwani kwa kiswahili yeye anajibu kingereza hiyo siyo bbc,sio wote wanaojua kimombo,tid ni mburura.
Huyo ndo TID...MNYAMA. Sporah umechemsha mbaya kwanza english yako niya kuombea maji.TID amekuweza huyooo.
You can't tell some one he looks UNHEALTHY, well r you his mother? This woman has no Brains, am not sure if she has any Journalism background.. SMH .

Post a Comment