WASIKILIZE WANAFUNZI WA KIMAREKANI WANAOJIFUNZA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA INDIANA NA MJADALA WAO WA URAIS
Student studying Swahili at Indiana University (Bloomington Campus).
1 comment:
Anonymous
said...
Safi sana. Wanazungumza kwa matamshi mazuri kabisa. Zaidi ya hata Watanzania wengi ambao herufi "R" na "L" wanazichanganya tu. Cha shangaza pia, herufi "H" inadondoshwa bila mpango. Hamna uitwa amna!!! Badala ya Huitwa Hamna!! Jamani tukaze ndimi na tuboresha na kuilinda lugha yetu isije badilika kwa vizazi vijavyo. Watoto wetu wanajifunza lugha kwa kusikia tuzungumzavyo.
1 comment:
Safi sana. Wanazungumza kwa matamshi mazuri kabisa. Zaidi ya hata Watanzania wengi ambao herufi "R" na "L" wanazichanganya tu.
Cha shangaza pia, herufi "H" inadondoshwa bila mpango. Hamna uitwa amna!!!
Badala ya Huitwa Hamna!!
Jamani tukaze ndimi na tuboresha na kuilinda lugha yetu isije badilika kwa vizazi vijavyo. Watoto wetu wanajifunza lugha kwa kusikia tuzungumzavyo.
Post a Comment