ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 7, 2013

WATANZANIA WISHIO DALLAS, TEXAS NA FAMILIA ZAOO, WASHEREHEKEA UHURU MAREKANI

 Watanzania na familia zao waishio Dallas, Texas wakijumuika pamoja na marafiki zao kwenye nyama choma katika kusherehekea Uhuru wa Marekani siku ya Alhamisi July 4, 2013.
 Familia ya kKitanzania iishio Dallas, Texas ikipata ukodak moment.
 Watanzania wa Dallas na familia zao wakiafanya maandalizi ya kuchoma nyama walipojumuika pamoja na marafiki zao katika kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Marekani isku ya Alhamisi July 4, 2013.
 wanafamilia katika picha ya pamoja.
 Mr. DJ akikrofisha mitambo.
Juu na chini ni  Watanzania na familia zao wakijumuika pamoja na marafiki zao katika kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Marekani kwa nyama choma siku ya Alhamisi July 4, 2013.
 Watoto kutoka familia za Watanzania waliojumuika pamoja kusherehekea Uhuru wa Marekani
 Wanafamilia katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya read more.


No comments: