ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 1, 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA


Waziri Mkuu , Mizengo  Pinda akimwongoza Mfalme Muswati  wa Swaziland kutembelea abanda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 IMG_0139IMG_0146
IMG_0167 
Mfalme Muswati wa Swazilanda (kulia) na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: