Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese mwishoni mwa wiki iliyopita 
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akimshambulia Mwalimu Alon wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita MNyeke alishinda kwa pointi
Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambanbo wao wa upingwa wa Taifa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita
Lucas Mkenya akivalishwa mkana baada ya kumdunda mwenzi
Bondia Sadick Momba kushoto akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi
Bondia Sadick Momba kulia akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi Picha na BLOG YA SUPER D
No comments:
Post a Comment