Buddah ni paka ambaye aliokowa na huyu baba pichani huko Tenesse Markani baada ya kutupwa na familia yake. Mara baada ya kumuokota akapelekwa kwa dakatri wa wanayama ili anangaliwe kama yuko ok au la na ndipo alipoamuliwa aingine kwenye diet ili apungue uzito unao tokana na mapenzi yake ya kula chakula cha binaadamu na si chakula cha paka kinacho uzwa madukani


No comments:
Post a Comment