ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 18, 2013

FEZA KESSY NI MIONGONI MWA WASANII WALIOKUWA WAMEVAA VIBAYA KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA YAHAYA YA LADY JAYDEE

Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee na Mkolon...
Pamoja na kuwa mgeni rasmi, Feza anadaiwa kuwa miongoni mwa wasanii waliokuwa wamevaa vibaya....
Vazi lake lilikuwa likiyaanika matiti yake hadharani, hali ambayo iliwafanya hata watoto wayashuhudie.

1 comment:

Anonymous said...

So sad. No respect to herself or the people. As a woman I feel degraded.