Wanenguaji wa Diamond.
Ndanda Kosovo akiteta jambo na fundi mitambo wa Dar Live, Maulid Kidabu (kulia). Katikati ni Juma Mbizo.
Five Stars Modern Taarab na Diamond Musica jana zilitoa burudani ya kufa mtu katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam na kuufanya usiku huo kuwa wa kukumbukwa.
(PICHA ZOTE ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS/GPL)




No comments:
Post a Comment