ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 19, 2013

FORUNATA MASHINJI AHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE

 Keki ya Fortunata ambayo ilikuwa maalumu kwenye siku yake ya kuzaliwa ambayo alikula pamoja na wafanyakazi wenzake wa LAPF ,Dodoma.
 Fortunata akimlisha keki rafiki yake Scola
 Wakati wa kugonga glasi kama ishara ya kumpongeza Fortunata kwa kuongeza umri zaidi katika sherehe ndogo iliyofanyika kwennye Pub maarufu ya Ngonyani , Dodoma.
Fortunata akimimina champaigne kwa wafanyakazi wenzake wa LAPF waliojumuika nae siku ya kuzaliwa kwake iliyofanyika hivi karibuni,Dodoma.

3 comments:

Anonymous said...

ni muhimu kuangalia maandishi kabla ya kuyapeperusha hewani. kuna makosa yanayiweza kuzuilika. Mara nyingi kunakua na makosa madogomadogo kama herufi kurukwa katika maandishi. uchanganyaji wa R na L.mfano huwa mnaandika Kabuli badala ya kaburi. U hutumiwa badala ya H mfano huwa mnasema ewa badala ya hewa.
Lengo langu ni kusaidia sio fitina.
Asante

Anonymous said...

Mdau hapo juu wewe mwenyewe umekosea umeandika yanayiweza badala ya yanayoweza.
Just saying....

Anonymous said...

Wewe mwenyewe mwenye lengo la kusaidia sio fitina, kama ulivyoandika hapo juu, seriously? Really? Unahitaji nawe kusaidiwa!!
Umeandika neno YANAYIWEZA badala ya YANAYOWEZA.Ulitakiwa
Kusoma ulichoandika kabla ya kurusha hewani ha ha ha ha !!!!