HIVI NI LINI UHURU WA WAANDISHI WA HABARI WAZALEND...
Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa ...Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa JNIA. Cha ajabu ni kwanba wakati mwanahabari mzawa ananyimwa kufanyakazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani ya nchi yake, wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.
1 comment:
Hii ni tungo tata. Hivi inawezekana mtu kuanza kumsukuma bila kuongea nae kwanza? kama ni hivyo tumeanza kuathilika na madaya yaliopo humu inchini hata bila kuvuta.
Post a Comment