naam sadakta mdau wa mwanzo umenene kisawa sawa lazima kuna beef ndani yake si bure na si nasikia aunty ezekiel kaolewa au kawachwa? mademu wa kibongo siku hizi wanajidai na kujifanya kama wa mademu wa kiniger niger ule ustaarabu na taabia njema za kitanzania hawanazo tena poleni sana wadada nyinyi mnaona maendeleo kumbe ndo mnadidimia ndani ya shimo poleni sana inasikitisha
dj luke kaka yangu umeachiaje comment ya anonymous at 7:13 am last one jamani si unatutukanisha sisi wanawake matusi kama haya jamani inakuwaje najua uhuru upo wa kujieleza lakini si hivi nimesikitika sana nina mabinti wadogo wanapenda sana kusoma blog yako sasa wakija soma comment kama hizi jamaa uwe unaangalia jamani sikufundishi kazi yako kaka yangu luke lakini jamani nimesikitikak kweli kwa lugha kama hii kuisoma hadharani siwapendelei hawa wanawake wenzangu na siwajui ila lugha jamani tuangaliye tunapo tuma comment ahsante ni hayo tu kaka yangu luke
duh kumbe ndio huyu jamani wote hawa watoto saaana ...ila wana mambo makubwa...huko Tz nasikia ukahaba unapanda chati kila siku ..habari yao iko U turn blog
6 comments:
Nafikiri watakuwa wamedhurumiana kimoja kati ya mabwana, madawa ya kulevya au tindikali.
naam sadakta mdau wa mwanzo umenene kisawa sawa lazima kuna beef ndani yake si bure na si nasikia aunty ezekiel kaolewa au kawachwa? mademu wa kibongo siku hizi wanajidai na kujifanya kama wa mademu wa kiniger niger ule ustaarabu na taabia njema za kitanzania hawanazo tena poleni sana wadada nyinyi mnaona maendeleo kumbe ndo mnadidimia ndani ya shimo poleni sana inasikitisha
Wacha kutuchafulia lugha. ""Wamedhulumiana"" sio wamedhurumiana. Dalesalama. Dar es salaam.
Lini unaenda dubay aunt?

Post a Comment